Yohane 11:33
Yohane 11:33 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alipomwona analia, na wale Wayahudi waliokuja pamoja naye wanalia pia, alijawa na huzuni na kufadhaika moyoni.
Shirikisha
Soma Yohane 11Yohane 11:33 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Yesu alipomwona analia, na wale Wayahudi waliofuatana naye wanalia, aliugua rohoni, akafadhaika roho yake
Shirikisha
Soma Yohane 11