Yohane 10:8-9
Yohane 10:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Wale wengine wote waliokuja kabla yangu ni wezi na wanyanganyi, nao kondoo hawakuwasikiliza. Mimi ni mlango. Anayeingia kwa kupitia kwangu ataokolewa; ataingia na kutoka, na kupata malisho.
Shirikisha
Soma Yohane 10Yohane 10:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wote walionitangulia ni wezi na wanyang'anyi; lakini kondoo hawakuwasikia. Mimi ndimi mlango; mtu akiingia kwa mimi, ataokoka; ataingia na kutoka, naye atapata malisho.
Shirikisha
Soma Yohane 10Yohane 10:8-9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wote walionitangulia ni wevi na wanyang’anyi; lakini kondoo hawakuwasikia. Mimi ndimi mlango; mtu akiingia kwa mimi, ataokoka; ataingia na kutoka, naye atapata malisho.
Shirikisha
Soma Yohane 10