Yohane 10:7-8
Yohane 10:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, akasema tena, “Kweli nawaambieni, mimi ni mlango wa kondoo. Wale wengine wote waliokuja kabla yangu ni wezi na wanyanganyi, nao kondoo hawakuwasikiliza.
Shirikisha
Soma Yohane 10Yohane 10:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Yesu aliwaambia tena, Amin, amin, nawaambieni, Mimi ndimi mlango wa kondoo. Wote walionitangulia ni wezi na wanyang'anyi; lakini kondoo hawakuwasikia.
Shirikisha
Soma Yohane 10Yohane 10:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi Yesu aliwaambia tena, Amin, amin, nawaambieni, Mimi ndimi mlango wa kondoo. Wote walionitangulia ni wevi na wanyang’anyi; lakini kondoo hawakuwasikia.
Shirikisha
Soma Yohane 10