Yohane 10:29-30
Yohane 10:29-30 Biblia Habari Njema (BHN)
Baba yangu ambaye ndiye aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote, wala hakuna awezaye kuwatoa mikononi mwake Baba. Mimi na Baba, tu mmoja.”
Shirikisha
Soma Yohane 10Yohane 10:29-30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Baba yangu aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote; wala hakuna mtu awezaye kuwapokonya katika mkono wa Baba yangu. Mimi na Baba tu mmoja.
Shirikisha
Soma Yohane 10