Yohane 10:29
Yohane 10:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Baba yangu ambaye ndiye aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote, wala hakuna awezaye kuwatoa mikononi mwake Baba.
Shirikisha
Soma Yohane 10Yohane 10:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Baba yangu aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote; wala hakuna mtu awezaye kuwapokonya katika mkono wa Baba yangu.
Shirikisha
Soma Yohane 10