Yohane 10:18
Yohane 10:18 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Hakuna mtu aniondoleaye uhai wangu, bali ninautoa kwa hiari yangu mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa uhai wangu, na pia ninao uwezo wa kuutwaa tena. Amri hii nimepewa na Baba yangu.”
Shirikisha
Soma Yohane 10Yohane 10:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Hakuna mtu anayeninyanganya uhai wangu; mimi nautoa kwa hiari yangu mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa na uwezo wa kuuchukua tena. Hivi ndivyo Baba alivyoniamuru nifanye.”
Shirikisha
Soma Yohane 10Yohane 10:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nililipokea kwa Baba yangu.
Shirikisha
Soma Yohane 10