Yohane 10:12
Yohane 10:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu wa kuajiriwa ambaye si mchungaji, na wala kondoo si mali yake, anapoona mbwamwitu anakuja, huwaacha kondoo na kukimbia, kisha mbwamwitu huwakamata na kuwatawanya.
Shirikisha
Soma Yohane 10Yohane 10:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu wa mshahara, wala si mchungaji, ambaye kondoo si mali yake, humwona mbwamwitu anakuja, akawaacha kondoo na kukimbia; na mbwamwitu huwakamata na kuwatawanya.
Shirikisha
Soma Yohane 10