Yohane 1:5-7
Yohane 1:5-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Na mwanga huo huangaza gizani, nalo giza halikuweza kuushinda. Mungu alimtuma mtu mmoja jina lake Yohane, ambaye alikuja kuwaambia watu juu ya huo mwanga. Alikuja ili kwa ujumbe wake watu wote wapate kuamini.
Shirikisha
Soma Yohane 1Yohane 1:5-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza. Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana. Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye.
Shirikisha
Soma Yohane 1Yohane 1:5-7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza. Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana. Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye.
Shirikisha
Soma Yohane 1