Yohane 1:45
Yohane 1:45 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Filipo akamwona Nathanaeli, akamwambia, Tumemwona yeye aliyeandikiwa na Musa katika torati, na manabii, Yesu, mwana wa Yusufu, mtu wa Nazareti.
Shirikisha
Soma Yohane 1Yohane 1:45 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye Filipo akamkuta Nathanaeli, akamwambia, “Tumemwona yule ambaye Mose aliandika juu yake katika kitabu cha sheria, na ambaye manabii waliandika habari zake, yaani Yesu Mwana wa Yosefu, kutoka Nazareti.”
Shirikisha
Soma Yohane 1