Yohane 1:3-5
Yohane 1:3-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa njia yake vitu vyote viliumbwa; hakuna hata kiumbe kimoja kilichoumbwa pasipo yeye. Yeye alikuwa chanzo cha uhai na uhai huo ulikuwa mwanga wa watu. Na mwanga huo huangaza gizani, nalo giza halikuweza kuushinda.
Shirikisha
Soma Yohane 1Yohane 1:3-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika. Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.
Shirikisha
Soma Yohane 1Yohane 1:3-5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza.
Shirikisha
Soma Yohane 1