Yohane 1:2-3
Yohane 1:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Tangu mwanzo Neno alikuwa na Mungu. Kwa njia yake vitu vyote viliumbwa; hakuna hata kiumbe kimoja kilichoumbwa pasipo yeye.
Shirikisha
Soma Yohane 1Yohane 1:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika.
Shirikisha
Soma Yohane 1