Yeremia 7:4
Yeremia 7:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Msitumainie maneno haya ya uongo: ‘Hili ni hekalu la Mwenyezi-Mungu, hekalu la Mwenyezi-Mungu, naam hekalu la Mwenyezi-Mungu.’
Shirikisha
Soma Yeremia 7Yeremia 7:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msitumainie maneno ya uongo, mkisema, Hekalu la BWANA, Hekalu la BWANA, Hekalu la BWANA ndiyo haya.
Shirikisha
Soma Yeremia 7