Yeremia 7:13
Yeremia 7:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyinyi mmefanya mambo hayo yote, na hata niliposema nanyi tena na tena hamkunisikiliza. Nilipowaiteni hamkuitika.
Shirikisha
Soma Yeremia 7Yeremia 7:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na sasa, kwa sababu mmezifanya kazi hizi zote asema BWANA, nami nikasema nanyi, nikiamka mapema na kunena, lakini hamkusikia; nami nikawaita wala hamkuniitikia
Shirikisha
Soma Yeremia 7