Yeremia 50:6
Yeremia 50:6 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
“Watu wangu wamekuwa kondoo waliopotea; wachungaji wao wamewapotosha na kuwafanya wazurure mlimani. Walitangatanga juu ya mlima na kilima, na kusahau mahali pao pa kupumzikia.
Shirikisha
Soma Yeremia 50Yeremia 50:6 Biblia Habari Njema (BHN)
“Watu wangu walikuwa kondoo waliopotea; wachungaji wao wamewapotosha, wakawageuza kuelekea milimani; walitembea toka mlima hadi kilima, wakasahau zizi lao.
Shirikisha
Soma Yeremia 50Yeremia 50:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Watu wangu wamekuwa kondoo waliopotea, wachungaji wao wamewapoteza; wamewapotosha milimani; wamekwenda toka mlima hadi kilima, wamesahau mahali pao pa kupumzika.
Shirikisha
Soma Yeremia 50