Yeremia 50:34
Yeremia 50:34 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mimi, Mkombozi wao ni mwenye nguvu. Mwenyezi-Mungu wa Majeshi ndilo jina langu. Hakika nitatetea kisa chao ili nilete amani katika nchi yao, lakini taabu kwa wakazi wa Babuloni.
Shirikisha
Soma Yeremia 50Yeremia 50:34 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mkombozi wao ni hodari; BWANA wa majeshi ndilo jina lake; yeye atawatetea kwa bidii, apate kuistarehesha nchi, na kuwasumbua wakaao katika Babeli.
Shirikisha
Soma Yeremia 50