Yeremia 5:5
Yeremia 5:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitawaendea wakuu niongee nao; bila shaka, wao wanajua matakwa ya Mwenyezi-Mungu; wanajua sheria ya Mungu wao.” Lakini wote waliivunja nira yao. Waliikatilia mbali minyororo yao.
Shirikisha
Soma Yeremia 5Yeremia 5:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nitawaendea watu wakubwa, nami nitasema nao; kwa maana hao wanaijua njia ya BWANA, na hukumu ya Mungu wao. Bali hawa kwa nia moja wameivunja nira, na kuvikata vifungo.
Shirikisha
Soma Yeremia 5