Yeremia 5:4 - Compare All Versions
Yeremia 5:4 BHN (Biblia Habari Njema)
Ndipo nilipowaza: “Hawa ni watu duni hawana akili; hawajui matakwa ya Mwenyezi-Mungu, hawajui Sheria ya Mungu wao.
Shirikisha
Yeremia 5 BHNYeremia 5:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Ndipo nikasema, Hakika, hawa ni maskini; ni wajinga hawa; maana hawaijui njia ya BWANA, wala hukumu ya Mungu wao
Shirikisha
Yeremia 5 SRUVYeremia 5:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo nikasema, Hakika, hawa ni maskini; ni wajinga hawa; maana hawaijui njia ya BWANA, wala hukumu ya Mungu wao
Shirikisha
Yeremia 5 SUVYeremia 5:4 NEN (Neno)
Ndipo nikasema, “Hawa ni maskini tu; wao ni wapumbavu, kwa maana hawaijui njia ya BWANA, sheria ya Mungu wao.
Shirikisha
Yeremia 5 NEN