Yeremia 5:25-26
Yeremia 5:25-26 Biblia Habari Njema (BHN)
Makosa yenu yamewazuia msipate baraka hizo, dhambi zenu zimewafanya msipate mema. Naam, kuna walaghai miongoni mwa watu wangu, watu ambao hunyakua mali za wengine. Wako kama wawindaji wa ndege: Hutega mitego yao na kuwanasa watu.
Shirikisha
Soma Yeremia 5Yeremia 5:25-26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maovu yenu yameyageuza haya, na dhambi zenu zimewazuilia mema msiyapate. Maana katika watu wangu wameonekana watu waovu; huvizia kama vile watu wategao mitego; hutega mtego, na kunasa watu.
Shirikisha
Soma Yeremia 5