Yeremia 5:24
Yeremia 5:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Wala hawasemi mioyoni mwao; ‘Na tumche Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, anayetujalia mvua kwa wakati wake, anayetupatia mvua za masika na mvua za vuli; na kutupa majira maalumu ya mavuno.’
Shirikisha
Soma Yeremia 5Yeremia 5:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wala hawasemi mioyoni mwao, Basi, na tumche BWANA, Mungu wetu, aletaye mvua, mvua ya mwaka, na mvua ya vuli, kwa wakati wake; na kutuwekea majuma ya mavuno yaliyoamriwa.
Shirikisha
Soma Yeremia 5