Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 5:10 - Compare All Versions

Yeremia 5:10 BHN (Biblia Habari Njema)

“Pandeni mpite katika mashamba yake ya mizabibu mkaharibu kila kitu bila kumaliza kabisa. Yakateni matawi yake, kwani hayo si yangu mimi Mwenyezi-Mungu.

Shirikisha
Yeremia 5 BHN

Yeremia 5:10 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Pandeni juu ya kuta zake mkaharibu, lakini msiharibu kabisa; ondoeni matawi yake; kwa maana si yake BWANA.

Shirikisha
Yeremia 5 SRUV

Yeremia 5:10 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Pandeni juu ya kuta zake mkaharibu, lakini msiharibu kabisa; ondoeni matawi yake; kwa maana si yake BWANA.

Shirikisha
Yeremia 5 SUV

Yeremia 5:10 NEN (Neno)

“Piteni katika mashamba yake ya mizabibu na kuyaharibu, lakini msiangamize kabisa. Pogoeni matawi yake, kwa kuwa watu hawa sio wa BWANA.

Shirikisha
Yeremia 5 NEN