Yeremia 4:23
Yeremia 4:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Niliiangalia nchi, lo! Imekuwa mahame na tupu; nilizitazama mbingu, nazo hazikuwa na mwanga.
Shirikisha
Soma Yeremia 4Yeremia 4:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Niliiangalia nchi, na tazama, ilikuwa ukiwa, haina watu; niliziangalia mbingu, nazo zilikuwa hazina nuru.
Shirikisha
Soma Yeremia 4