Yeremia 4:19
Yeremia 4:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Uchungu, uchungu! Nagaagaa kwa uchungu! Moyo wangu unanigonga vibaya. Wala siwezi kukaa kimya. Maana naogopa mlio wa tarumbeta, nasikia kingora cha vita.
Shirikisha
Soma Yeremia 4Yeremia 4:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtima wangu, mtima wangu! Naumwa katika moyo wangu wa ndani; moyo wangu umefadhaika ndani yangu; siwezi kunyamaza; kwa sababu umesikia, Ee nafsi yangu, sauti ya tarumbeta, mshindo wa vita.
Shirikisha
Soma Yeremia 4