Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 33:6-7 - Compare All Versions

Yeremia 33:6-7 BHN (Biblia Habari Njema)

“Hata hivyo, mimi nitauponya mji huu na kuwapa watu wake afya; nitawajalia ustawi mwingi na usalama. Nitawastawisha tena watu wa Yuda na watu wa Israeli; nitawaimarisha kama walivyokuwa hapo awali.

Shirikisha
Yeremia 33 BHN

Yeremia 33:6-7 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Tazama, nitauletea afya na kupona, nami nitawaponya; nami nitawafunulia wingi wa amani na kweli. Nami nitawarudisha wafungwa wa Yuda, na wafungwa wa Israeli, na kuwajenga kama kwanza.

Shirikisha
Yeremia 33 SRUV

Yeremia 33:6-7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Tazama, nitauletea afya na kupona, nami nitawaponya; nami nitawafunulia wingi wa amani na kweli. Nami nitawarudisha wafungwa wa Yuda, na wafungwa wa Israeli, na kuwajenga kama kwanza.

Shirikisha
Yeremia 33 SUV

Yeremia 33:6-7 NEN (Neno)

“ ‘Hata hivyo, nitauletea afya na uponyaji, nitawaponya watu wangu na kuwafanya wafurahie amani tele na salama. Nitawarudisha Yuda na Israeli kutoka uhamishoni, na kuwajenga tena kama walivyokuwa hapo awali.

Shirikisha
Yeremia 33 NEN