Yeremia 32:7
Yeremia 32:7 Biblia Habari Njema (BHN)
“Hanameli, mwana wa baba yako mdogo Shalumu, atakujia na kusema: ‘Nunua shamba langu lililoko Anathothi, maana wewe ni ndugu yangu kabisa, na unayo haki ya kulikomboa.’”
Shirikisha
Soma Yeremia 32Yeremia 32:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, Hanameli, mwana wa Shalumu, mjomba wako, atakujia, akisema, Jinunulie shamba langu lililoko Anathothi; maana haki ya ukombozi ni yako, ulinunue.
Shirikisha
Soma Yeremia 32