Yeremia 32:41
Yeremia 32:41 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitafurahi kuwatendea mema; nitawasimika daima katika nchi hii na kuwatendea kwa uaminifu.
Shirikisha
Soma Yeremia 32Yeremia 32:41 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naam, nitafurahi juu yao niwatendee mema, nami nitawapanda katika nchi hii kweli kweli, kwa moyo wangu wote, na kwa roho yangu yote.
Shirikisha
Soma Yeremia 32