Yeremia 32:33
Yeremia 32:33 Biblia Habari Njema (BHN)
Wao walinipa kisogo badala ya kunigeuzia nyuso zao; ingawa nimewafundisha tena na tena, wao hawakusikiliza na kuyapokea mafundisho yangu.
Shirikisha
Soma Yeremia 32Yeremia 32:33 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena wamenigeuzia visogo vyao, wala si nyuso zao; ingawa niliwafundisha, niliondoka mapema na kuwafundisha, lakini hawakusikiliza ili wapate mafundisho.
Shirikisha
Soma Yeremia 32