Yeremia 32:30
Yeremia 32:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana Waisraeli na watu wa Yuda hawakufanya chochote mbele yangu isipokuwa uovu tangu ujana wao; watu wa Israeli hawakufanya chochote isipokuwa kunikasirisha kwa matendo yao. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Shirikisha
Soma Yeremia 32Yeremia 32:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana wana wa Israeli, na wana wa Yuda, wametenda yaliyo mabaya tu mbele za uso wangu, tangu ujana wao; maana wana wa Israeli wamenichokoza tu kwa matendo ya mikono yao, asema BWANA.
Shirikisha
Soma Yeremia 32