Yeremia 32:21
Yeremia 32:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa maajabu na miujiza uliyowatisha nayo Wamisri, uliwatoa watu wako Misri kwa nguvu zako nyingi na uwezo wako mkuu.
Shirikisha
Soma Yeremia 32Yeremia 32:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ukawatoa watu wako, Israeli, katika nchi ya Misri, kwa ishara, na kwa ajabu, na kwa mkono hodari, na kwa mkono ulionyoshwa, na kwa utisho mkuu
Shirikisha
Soma Yeremia 32