Yeremia 32:20
Yeremia 32:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Katika nchi ya Misri ulifanya maajabu, ukatenda miujiza, na unaendelea kufanya hivyo mpaka leo miongoni mwa Waisraeli na katika mataifa mengine pia, jambo ambalo limekufanya ujulikane kila mahali.
Shirikisha
Soma Yeremia 32Yeremia 32:20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
wewe uliyeweka ishara na ajabu katika nchi ya Misri hata siku hii ya leo, katika Israeli na kati ya watu wengine; na kujifanyia jina kama ilivyo leo
Shirikisha
Soma Yeremia 32