Yeremia 32:19
Yeremia 32:19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
mkuu wa mashauri, mweza katika kutenda; ambaye macho yake yamefumbuka juu ya njia zote za wanadamu, kumpa kila mtu kwa kadiri ya njia zake, na kwa kadiri ya matunda ya matendo yake
Shirikisha
Soma Yeremia 32Yeremia 32:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe unapanga kwa hekima na unafanya maajabu; njia za watu wote ziko wazi mbele yako, unamlipa kila mmoja kadiri ya njia zake na matendo yake.
Shirikisha
Soma Yeremia 32