Yeremia 31:4 - Compare All Versions
Yeremia 31:4 BHN (Biblia Habari Njema)
Nitakujenga upya nawe utajengeka, ewe Israeli uliye mzuri! Utazichukua tena ngoma zako ucheze kwa furaha na shangwe.
Shirikisha
Yeremia 31 BHNYeremia 31:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara ya pili nitakujenga, nawe utajengwa, Ee bikira wa Israeli mara ya pili utapambwa kwa matari yako, nawe utatokea katika michezo yao wanaofurahi.
Shirikisha
Yeremia 31 SUVYeremia 31:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Mara ya pili nitakujenga, nawe utajengwa, Ee bikira wa Israeli mara ya pili utapambwa kwa matari yako, nawe utatokea katika michezo yao wanaofurahi.
Shirikisha
Yeremia 31 SRUVYeremia 31:4 NEN (Neno)
Nitakujenga tena, nawe utajengeka upya, ewe Bikira Israeli. Utachukua tena matari yako na kwenda kucheza na wanaofurahi.
Shirikisha
Yeremia 31 NEN