Yeremia 31:3 - Compare All Versions
Yeremia 31:3 BHN (Biblia Habari Njema)
mimi Mwenyezi-Mungu nilimtokea kwa mbali. Nami nimekupenda kwa mapendo ya daima, kwa hiyo nimeendelea kuwa mwaminifu kwako.
Shirikisha
Yeremia 31 BHNYeremia 31:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)
BWANA alinitokea zamani, akisema, Naam nimekupenda kwa upendo wa milele, ndiyo maana nimekuvuta kwa fadhili zangu.
Shirikisha
Yeremia 31 SRUVYeremia 31:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA alinitokea zamani, akisema, Naam nimekupenda kwa upendo wa milele, ndiyo maana nimekuvuta kwa fadhili zangu.
Shirikisha
Yeremia 31 SUVYeremia 31:3 NEN (Neno)
BWANA alitutokea zamani, akisema: “Nimekupenda kwa upendo wa milele, nimekuvuta kwa wema.
Shirikisha
Yeremia 31 NEN