Yeremia 29:18
Yeremia 29:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitawaandama kwa upanga, njaa na maradhi mabaya. Nitawafanya kuwa kitu cha kuchukiza kwa tawala zote za dunia, naam, kitu cha laana, kioja, dharau na kitu cha kupuuzwa katika mataifa yote nilikowafukuzia.
Shirikisha
Soma Yeremia 29Yeremia 29:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitawafuatia kwa upanga, na njaa, na tauni, nami nitawatoa watupwe huku na huko katika falme zote za dunia, wawe kitu cha kulaaniwa, na cha kushangaza, na cha kuzomewa, na cha kulaumiwa, katika mataifa yote nilikowafukuza.
Shirikisha
Soma Yeremia 29Yeremia 29:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nami nitawafuatia kwa upanga, na njaa, na tauni, nami nitawatoa watupwe huko na huko katika falme zote za dunia, wawe kitu cha kulaaniwa, na cha kushangaza, na cha kuzomewa, na cha kulaumiwa, katika mataifa yote nilikowafukuza.
Shirikisha
Soma Yeremia 29