Yeremia 26:24
Yeremia 26:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Yeremia alikuwa akilindwa na Ahikamu mwana wa Shefani, ili asitiwe mikononi mwa watu na kuuawa.
Shirikisha
Soma Yeremia 26Yeremia 26:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini mkono wa Ahikamu, mwana wa Shafani, alikuwa pamoja na Yeremia, wasimtie katika mikono ya watu auawe.
Shirikisha
Soma Yeremia 26