Yeremia 23:22
Yeremia 23:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama wangalihudhuria baraza langu, wangaliwatangazia watu wangu maneno yangu, wakawageuza kutoka katika njia zao mbovu, na kutoka katika matendo yao maovu.
Shirikisha
Soma Yeremia 23Yeremia 23:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini kama wangalisimama katika baraza yangu, ndipo wangaliwasikizisha watu wangu maneno yangu, na kuwageuza waziache njia zao mbaya, na uovu wa matendo yao.
Shirikisha
Soma Yeremia 23