Yeremia 23:18
Yeremia 23:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini, ni yupi kati ya manabii hao aliyepata kuhudhuria baraza la Mwenyezi-Mungu, hata akasikia na kuelewa neno lake? Au ni nani aliyejali neno lake, hata akapata kulitangaza?
Shirikisha
Soma Yeremia 23Yeremia 23:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana, ni nani aliyesimama katika baraza la BWANA, hata akalifahamu neno lake na kulisikia? Ni nani aliyelitia moyoni neno langu, na kulisikia?
Shirikisha
Soma Yeremia 23