Yeremia 23:10
Yeremia 23:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana, nchi imejaa wazinzi; kwa sababu ya laana, nchi inaomboleza, na malisho ya nyanda zake yamekauka. Mienendo ya watu ni miovu, nguvu zao zinatumika isivyo halali.
Shirikisha
Soma Yeremia 23Yeremia 23:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana nchi imejaa wazinzi; kwa sababu ya kuapa nchi inaomboleza; malisho ya nyikani yamekauka; mwenendo wao ni mbaya, na nguvu zao si za haki.
Shirikisha
Soma Yeremia 23