Yeremia 20:2
Yeremia 20:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ndipo Pashuri akampiga Yeremia, nabii, akamtia katika mkatale, uliokuwa pale penye lango la juu la Benyamini, lililokuwa katika nyumba ya BWANA.
Shirikisha
Soma Yeremia 20Yeremia 20:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Pashuri akampiga nabii Yeremia na kumtia kifungoni upande wa lango la juu la Benyamini, katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Yeremia 20Yeremia 20:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo Pashuri akampiga Yeremia, nabii, akamtia katika mkatale, uliokuwa pale penye lango la juu la Benyamini, lililokuwa katika nyumba ya BWANA.
Shirikisha
Soma Yeremia 20