Yeremia 2:3
Yeremia 2:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Israeli, wewe ulikuwa mtakatifu kwangu, ulikuwa matunda ya kwanza ya mavuno yangu. Wote waliokudhuru walikuwa na hatia, wakapatwa na maafa. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Shirikisha
Soma Yeremia 2Yeremia 2:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Israeli walikuwa utakatifu kwa BWANA; malimbuko ya uzao wake; Wote watakaomla watakuwa na hatia; uovu utawajia; asema BWANA.
Shirikisha
Soma Yeremia 2