Yeremia 2:11
Yeremia 2:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Je! Taifa wamebadili miungu yao, ingawa siyo miungu? Lakini watu wangu wameubadili utukufu wao kwa ajili ya kitu kisichofaidia.
Shirikisha
Soma Yeremia 2Yeremia 2:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwamba kuna taifa lililowahi kubadilisha miungu yake ingawa miungu hiyo si miungu! Lakini watu wangu wameniacha mimi, utukufu wao, wakafuata miungu isiyofaa kitu.
Shirikisha
Soma Yeremia 2