Yeremia 18:15
Yeremia 18:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini watu wangu wamenisahau mimi, wanafukizia ubani miungu ya uongo. Wamejikwaa katika njia zao, katika barabara za zamani. Wanapitia vichochoroni badala ya njia kuu.
Shirikisha
Soma Yeremia 18Yeremia 18:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana watu wangu wamenisahau, wameufukizia ubatili uvumba; nao wamewakaza katika njia zao, katika mapito ya zamani, ili wapite katika njia za kando, katika njia isiyotengenezwa
Shirikisha
Soma Yeremia 18