Yeremia 13:10
Yeremia 13:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu hawa waovu wanakataa kusikia maneno yangu, na badala yake wanakuwa wakaidi na kufuata mawazo yao wenyewe. Wanaifuata miungu mingine, wanaitumikia na kuiabudu. Hao watakuwa kama kikoi hiki ambacho hakifai kitu.
Shirikisha
Soma Yeremia 13Yeremia 13:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Watu hawa waovu, wanaokataa kusikiliza maneno yangu, wanaokwenda kwa ushupavu wa mioyo yao, na kufuata miungu mingine ili kuitumikia na kuiabudu, watakuwa hali moja na kitambaa hiki kisichofaa kwa lolote.
Shirikisha
Soma Yeremia 13