Yeremia 1:7
Yeremia 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mwenyezi-Mungu akaniambia, “Usiseme kwamba wewe ni kijana bado. Utakwenda kwa watu wote nitakaokutuma kwao, na yote nitakayokuamuru utayasema.
Shirikisha
Soma Yeremia 1Yeremia 1:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini BWANA akaniambia, Usiseme, Mimi ni mtoto; maana utakwenda kwa kila mtu nitakayekutuma kwake, nawe utasema kila neno nitakalokuamuru.
Shirikisha
Soma Yeremia 1