Yeremia 1:5 - Compare All Versions
Yeremia 1:5 BHN (Biblia Habari Njema)
“Kabla hujachukuliwa mimba, mimi nilikujua, kabla hujazaliwa, mimi nilikuweka wakfu; nilikuteua uwe nabii kwa mataifa.”
Shirikisha
Yeremia 1 BHNYeremia 1:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kabla sijakuumba katika tumbo nilikujua, na kabla hujatoka tumboni, nilikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.
Shirikisha
Yeremia 1 SRUVYeremia 1:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.
Shirikisha
Yeremia 1 SUVYeremia 1:5 NEN (Neno)
“Kabla sijakuumba ndani ya tumbo la mama yako, nilikujua; kabla hujazaliwa nilikutenga kwa kazi maalum; nilikuweka uwe nabii kwa mataifa.”
Shirikisha
Yeremia 1 NEN