Yeremia 1:19 - Compare All Versions
Yeremia 1:19 BHN (Biblia Habari Njema)
Watapigana nawe, lakini hawatashinda kwa sababu mimi niko pamoja nawe kukuokoa. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Shirikisha
Yeremia 1 BHNYeremia 1:19 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Nao watapigana nawe; lakini hawatakushinda; maana mimi nipo pamoja nawe, asema BWANA, ili nikuokoe.
Shirikisha
Yeremia 1 SRUVYeremia 1:19 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watapigana nawe; lakini hawatakushinda; maana mimi nipo pamoja nawe, asema BWANA, ili nikuokoe.
Shirikisha
Yeremia 1 SUVYeremia 1:19 NEN (Neno)
Watapigana nawe lakini hawatakushinda, kwa kuwa niko pamoja nawe, nami nitakuokoa,” asema BWANA.
Shirikisha
Yeremia 1 NEN