Yeremia 1:13
Yeremia 1:13 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Neno la BWANA likanijia tena, “Unaona nini?” Nikajibu, “Naona chungu kinachochemka, kikiwa kimeinama kutoka kaskazini.”
Shirikisha
Soma Yeremia 1Yeremia 1:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia mara ya pili: “Unaona nini?” Nami nikasema, “Ninaona chungu kinatokota kimeinama upande wangu kutoka kaskazini.”
Shirikisha
Soma Yeremia 1Yeremia 1:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Neno la BWANA likanijia mara ya pili, kusema, Waona nini? Nikasema, Naona sufuria lenye maji yatokotayo, na mdomo wake unaelekea toka upande wa kaskazini.
Shirikisha
Soma Yeremia 1