Yeremia 1:1
Yeremia 1:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Yafuatayo ni maneno ya Yeremia mwana wa Hilkia, mmoja wa makuhani wa mji wa Anathothi, katika nchi ya Benyamini.
Shirikisha
Soma Yeremia 1Yeremia 1:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maneno ya Yeremia, mwana wa Hilkia, mmoja wa makuhani waliokuwa katika Anathothi, katika nchi ya Benyamini
Shirikisha
Soma Yeremia 1