Waamuzi 9:5
Waamuzi 9:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Akafuatana nao kwenda Ofra kwa baba yake na huko akawaua ndugu zake wote sabini juu ya jiwe moja. Lakini Yothamu, mwana mdogo wa Yerubabeli alinusurika, maana alijificha.
Shirikisha
Soma Waamuzi 9Waamuzi 9:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha akaenda nyumbani kwa babaye huko Ofra, akawaua nduguze, hao wana wa Yerubaali, watu sabini, akawaua juu ya jiwe moja; lakini Yothamu, mwana mdogo wa Yerubaali, alisalia; kwa maana alijificha.
Shirikisha
Soma Waamuzi 9