Waamuzi 8:7 - Compare All Versions
Waamuzi 8:7 BHN (Biblia Habari Njema)
Gideoni akawaambia, “Sawa, lakini Mwenyezi-Mungu atakapowatia Zeba na Salmuna mikononi mwangu, nitaichanachana miili yenu kwa miiba na mbigili za jangwani.”
Shirikisha
Waamuzi 8 BHNWaamuzi 8:7 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Gideoni akasema, Kwa sababu hii, hapo BWANA atakapokuwa amewatia Zeba na Salmuna mkononi mwangu, ndipo nitaipura miili yenu kwa miiba ya nyikani, na kwa michongoma.
Shirikisha
Waamuzi 8 SRUVWaamuzi 8:7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Gideoni akasema, Kwa sababu hii, hapo BWANA atakapokuwa amewatia Zeba na Salmuna mkononi mwangu, ndipo nitaipura nyama ya miili yenu kwa miiba ya nyikani, na kwa michongoma.
Shirikisha
Waamuzi 8 SUVWaamuzi 8:7 NEN (Neno)
Gideoni akajibu, “Kwa ajili ya hilo tu, BWANA atakapowatia Zeba na Salmuna mkononi mwangu, nitaichana nyama ya miili yenu kwenye miiba ya nyikani na kwenye michongoma.”
Shirikisha
Waamuzi 8 NEN