Waamuzi 8:6
Waamuzi 8:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini viongozi wa Sukothi wakamwuliza, “Kwa nini tuwape mikate nanyi bado hamjamshinda Zeba na Salmuna?”
Shirikisha
Soma Waamuzi 8Waamuzi 8:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hao wakuu wa Sukothi wakasema, Je! Mikono ya Zeba na Salmuna iko mkononi mwako sasa, hata sisi tukawape jeshi lako mikate?
Shirikisha
Soma Waamuzi 8